za saa hizi wapendwa,,jamani naombeni msaada..mimi ni msichana naependa sana ujasiriamali tatizo langu ni mtaji..nina idea kibao kuna kusafirisha culture nje,kuna kufungua biashara ya pop corn hizo ndo hasa nazozihitaji mtaji wake ni laki tano,,sina dhamana ya kitu nshaangaika kwenda banks ila...