Recent content by naija-lojja

  1. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa kuchokonoa masikio kwa kutumia pamba stick na vijiti yaliyonikuta mimi iwe funzo kwenu

    Kubet bhana[emoji23][emoji23][emoji23] dah ila pole mkuu
  2. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kupanda kwa uchumi wa nchi nyingi za Africa ikiwamo Tanzania hakuendani na maisha ya wananchi?

    Tofautisha kati ya economic development na economic growth
  3. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Dah pole mkuu
  4. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Kweli kabisa ..stressed life
  5. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Haya bhana
  6. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Hawezi pona kwa ile mitonyo ya boss
  7. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Assume ni mwanaume alafu endelea
  8. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Wahenga:fimbo ya mbali haiui nyoka
  9. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Ofic ya ukoo??
  10. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Duuuh hii hatar asee
  11. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Mkuu unataka kula na boss??
  12. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Mmh mkuu yanatoka moyon ayo?
  13. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Kwa ile privacy alionao mmmh cjui kma itakwepeka io kitu
  14. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Nawangoja apa[emoji15][emoji15][emoji15]
  15. naija-lojja

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao wake zao ni masecretary huwa mnajisikiaje?

    Pole na majukumu wanajamvi, Katika pita pita kwenye maofisi kuna kitu nimekiona unakuta secretary muda mwingi yuko ofisini anamuhudumia boss wake kuliko muda ambao anakaa na familia yake na heshima anayo mpa boss wake sidhani kama mume unaipata. Sasa swali langu ni kwawanaume ambao wake zenu...
Back
Top Bottom