Recent content by nahodha

  1. N

    Nahitaji mtu wa kuangusha mbuyu

    Mosi ni kosa kuangusha mti wa saizi hii. Hii miti iko protected.Ukiuangusha huenda ukashtakiwa. Pili mti kama huu una mashetani yake, ukiuangusha itakuwa balaa, zungumza na wazee kwanza.
  2. N

    Tanzania bado sana

    Bongo hakuna customer care!!! Andika kama mwandishi, Punctuate your writting !!!!!
  3. N

    Hizi ndio sifa za kila...........!

    Mbone sie wa Unguja na Pemba hatupo? Kwani sisi sio sehemu ya Tanzania? Nasi tipewe misifa yetu!!!
  4. N

    Nimeulizwa................!

    Jibu ni F. Wengi wa wasomi wa form four wana F
  5. N

    Wameamua

    Visit this link to understand what is No.666 666 - THE MARK OF THE BEAST?
  6. N

    Mwanamke mbaya kuliko wote baada ya eva,yezebeli, duniani ni spika wenu ""anna makinda""

    Anna Makinda ni "DEADWOOD" wetu hana uwezo hata kidogokuwa spika wa bunge, wote mnakumbuka jinsi alivyopewa huo ulaji kwa utata!!
  7. N

    Jf doctor kugoma?

    Tumia nguvu za umma kutibu wagonjwa
Back
Top Bottom