Kwa nilivyomuelewa inapaswa kuwe na ratio ya 500ml kwa nchi zote. Maana yake huko kwenye campaign za kuongeza watu watu wanapungua sana kiasi labda baada ya muda idadi itakua ndogo mno hivyo uendeshaji wa nchi utakua mgumu kwa sababu nguvu kazi hamna kwa ukubwa unaoweza kusaidia serikali...
Nitazame tofauti kidogo.
Hua naamini kwa namna iwavyo na kwa muda iwe mfupi ama mrefu ujao...
Sisi ngozi nyeusi tutatawala dunia kupitia nchi za hao hao watawala wa sasa.
Sisi huku Tanzania na barani mwetu Afrika kwa ujumla wake, kwanza hatujui uwezo wetu ni nini ,ili kupitia huo uwezo...
Mwaka jana kati sikumbuki ni mwezi gani ila kati ya june-august hivi. Kuna ndoto niliota aisee niliogopa kuwahadithia watu, maana kama kakichekesho wewe sasa ukutane na wazito hivyo ukae nao ah wapi sikuipa umuhimu.
NDOTO YA KWANZA
Niliota nipo sebleni mimi Hayati Magufuli (R.I.P) na Lowasa...
Hii hadithi inatuangukia sisi waafrika. Shule na dini ndio hasa vifungo vyetu vinavyotutengenezea zuio la kufikiri nje ya tulivyofundishwa.
Hapo wametuweka kwenye mapango ya DINI SIASA na UCHUMI
Mf. shule tunasoma vitu kinyume hasa na uhalisia wa mazingira yetu, kutokana mitaala yao haiendani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.