Recent content by na'havache

  1. N

    JamiiForums Tanzania Usindikaji wa pilipili na nyanya

    Kaka nkitu vizuri hongera,ila Nina swàli nyanya inaanikwa juani ili iweze kuhifadhiwa au sehemu isiyo na jua kali? Natamani kuanza kutengeneza .
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Mkuu nimevutiwa na jinsi unavyohamasisha sisi vijana tunaotaka kujiajiri,hongera sana. Mimi naishi ifakara na napenda niweze kupata ufafanuzi vizuri jinsi ya kulima nyanya na gharama zake kilimo ni cha nje tu. Ila sina mtaji mkubwa. Naomba ushirikiano wako kuna namba ya voda nimeiona nitakupigia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu kuhusu funza kama chakula cha kuku

    Mkuu ukifanikiwa kupata detail zozote abt minyoo tupeane taarifa nw Mimi pia naitafuta kwa ajili ya kuku
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha huduma ya Tigopesa

    Option ya kwanza nenda tra kachukue TIN then tafuta leseni ya biashara itakusaidia kupata line yenye jina lako ukienda of is za tigo hapo ulipo. Option ya pili line zinauzwa mtaani kuna watu wametumia wameamua kuachan nw hii biashara so zipo waulize mawakala watakusaidia kuzipata Ni being za...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mashine za kutengenezea popcorn na za kusafishia picha

    Wadau wanaojua hii mada waidadavue tuelimike
  6. N

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    I owe him
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

    ??????????
Back
Top Bottom