Recent content by Nagwe

  1. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Tupieni madada wenye umbo no. 8

    Taifa linaangamia poleni wazazi
  2. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Anguko jingine la Ben Saanane, Yeriko Nyerere na Nusrat Hanje. BAVICHA wana wakati mgumu sasa

    Akili ndogo zina tabu yake Mpo mnapambana na Chadema nchi ipo inazama. Ufisadi Nssf. Madeni kulielemea taifa wakati yalikwenda kwenye kampeni za ccm. Mikopo elimu ya juu imekuwa hadith. Mitaani hakukaliki hali ni mbaya. Halafu watu wazima kama nyie mnaacha kuishauri nchi nini cha kufanya mpo...
  3. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni aeleza sababu za kutojihusisha tena na filamu nchini

    Hawa jamaa hawana tone la aibu
  4. Nagwe

    JamiiForums Tanzania UJANGILI: Mtoto wa Mbunge ajinasua jela kwa Sh. Milioni 138

    Hiyo biashara haifungagi mtu
  5. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Project ya ACT bado inaendelea.
  6. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Hakuna evidence(Receipt) kuwa NSSF wamenunua kiwanja kwa Milioni 800 Kigamboni

    Hiyo ni project ya ACT
  7. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

    Zito ni mbinafsi sana tena ni mpiga madili wa kuheshimika sana huku akihisi kutumia umaarufu wake vibaya
  8. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Afande Sele amlipua Zitto Kabwe kuhusu tuhuma za Ufisadi wa NSSF

    Zitto ni mtu anaye angalia maslahi yake tu hajawahi kumaanisha hajali chochote anatumia siasa kufanya mambo yake.
  9. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

    Soma Jamvi la habari gazeti la zito uone jinsi linavyo mpigania Dr Dau sio hivi hivi bro.
  10. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

    Zito ni kama vile alikuwa analipwa na Dr Dau
  11. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

    Ivi nyie Act lini mmekuwa wasemaje wa Nssf Huo usemaje mmeanza lini
  12. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT wanapambana kutetea NSSF?

    Nyie mnadhani zile kelele za kutochukua posho zilikuwa ivi ivi tu.
  13. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Wapinzani mnaogopa kuzunguzia ufisadi huu wa Dr Dau NSSF?

    Wapinzani ambao binafsi nawaunga mkono ni aibu kutomzungumzia ufisadi huu wa kutisha wa Nssf,mnaogopa nini au na nyie mlimezeshwa
  14. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Wapinzani mnaogopa kuzunguzia ufisadi huu wa Dr Dau NSSF?

    Nssf imekumbwa na ufisadi mkubwa wa pesa, na ufisadi huu ulifanyika wakati wa uongozi wa Dr. Dau aliye kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo la NSSF. Na mkurugenzi mpya aliyepo mda huu amethibitisha upotevu huo wa fedha akisema zaidi ya bilioni 240 zimeliwa. Sasa mambo yanayo nishangaza kwa...
  15. Nagwe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuomba Mfalme wa Morocco amjengee Msikiti mkubwa Dar na Uwanja mkubwa Dodoma

    Hivyo labda ndio vipau mbele vyetu
Back
Top Bottom