Recent content by Nafwachii

  1. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya watumishi waliohamishiwa MSM September 2017

    mimi nimepewa bandiko hili na mkurugenzi wangu chalinze
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Kamwane, unogage bee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    karibu pm mkuu, ninavyo pia nina kibanda changu nakiuza 25mil
  4. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    nimekupata mkuu, nilichanganya na wale wa IPTL
  5. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    mkuu kipande kinacho jengwa ni 3.2km kati ya 14+ km
  6. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    hakika kwani walishavulunda sana miradi mingine, hakukuwa na haja ya tanroad kuwapa mingine
  7. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    hao wamechukulia kwasababu ni cheap...hatuangalii ubora lol...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Neema ya barabara wale wa Kivule, Matembele Chakenke, Mkong'oto, Sirari, Frem Kumi, Mbondole mpaka Msongola

    itajengwa kwa miaka miwili nasikia...hizo kilometa 3.2 kwa miaka miwili...mpaka tufike msongora hiyo ni 2020, harafu lazima itakuwa haina mifereji tu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Kiwanja cha makazi kinauzwa Eneo: Mafinga -kinyanambo C Ukubwa: Mita 50x45 Umbali kutoka Moro-Mbeya road: chini ya mita300 Bei: Millioni 5 Ukitaka nusu unapata kwa million 3 Umiriki: Kiwanja ni changu mwenyewe Maji na umeme vipo tayari mita 400 kufika stendi ya daladala
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    mkuu hupatikani whatsapp......estimate ya kupima 15mx18m kitunda?
Back
Top Bottom