Tafakari maamuzi yako upya, kuna uwezokano mkubwa ww ndio ukawa tatizo mpaka huyo mwanamke kupelekea kuwa hvyo,.katika maisha ya ndoa moto hauzimwi na moto,.ww ni mtoto wa kiume hvyo ww ni kiumbe imara na jamii inajua kuwa mwanaume ni kiumbe imara na mwanamke ni kiumbe dhaifu..mimi kama mwanaume...
OFFER OFFER 🌙
Hp 840 g3 core i7
Ram 8gb
Ssd 256gb
Super clean condition
Battery 4 hours
Windows 10
Basic programs installed
💎good for games
💎high speed in internet
💎for study and other task
💎engineers hii inawafaa
💎wanachuo hii ni Safi
Price: 450,000/=tsh
Call/whatsapp
0695472265
Taarifa ya UN kuhusu Rwanda na M23 ni kweli, lakini hiyo inathibitisha kuwa Rwanda inaingilia Congo kiharamu na inalaumiwa kimataifa. Tanzania haiwezi kufuata mkondo huo, lazima tuwe mfano wa heshima kwa makubaliano rasmi na serikali ya Congo.
Kuhusu mfano wa Marekani na Kuwait, ni sahihi...
hoja yako ina msisimko lakini haina mashiko hebu tuiangalie kwa ukaribu. Rwanda inaingilia Congo kwa njia za kificho, na mara nyingi inakosolewa kimataifa. Tanzania, kwa heshima yake, haiwezi kutumia mbinu za "kuvizia" kama Rwanda. Sisi tuna historia ya kuheshimu sheria za kimataifa, na hatutaki...
Ni kweli Congo ni mwanachama wa EAC sasa (kuanzia 2022), lakini hoja ya diplomasia inahusu tahadhari na usawa wa kushughulikia maslahi ya nchi wanachama wote, hasa Rwanda ambayo inatajwa mara kwa mara kuhusika na M23.
Shida ipo na sio rahisi kama unavyodhani labda tukurupuke tu..Athari zitakazojitokeza.
1. Diplomasia ya Kikanda: Rwanda, mshirika wa EAC, inahusishwa na M23 hatua ya Tanzania inaweza kuzua mvutano.
2. Usalama wa Ndani: Tanzania inaweza kuwa shabaha ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.
3...
hyo sio sababu ya Mwalim kutangaza vita.sababu zilizofanya Mwalim nyerere kutangaza vita ni uhasama wa kibinafsi kati ya Mwalim Nyerere na Iddi Amin,,Mwalimu alikuwa akiamini sana kwenye sera ya ujamaa tofauti na Iddi Amini ambaye yeye alikuwa akiamini mfumo wake binafsi ambao ulijikita kwenye...
Ukiwa umefikia hapo basi ni hatua nzuri na hakika unakuwa kifkira ila nakuhakikisha baada ya muda utarud kwenye mfumo wa dini yako na hautoongea tena kuhusu dini na Mungu wala kubishana..hapo sasa ndio utakuwa umekamilika kifkira na roho..
Hii ni kweli kabisa na wala sipingi..mimi Kuna kipindi nilikuwa nahisi kichwa kuniuma sana nikaenda hospital nikafanya check up.wakaniambia sina tatizo ila cholesterol ipo juu hvyo wakaniandikia hzo za statin za kumeza miezi mitatu nikachukua ila sikutumia hata kidonge kimoja mpaka leo ninazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.