Recent content by Nafaka Store

  1. N

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nakataa kwa herufi kubwa, mi mwanamke nimeolewa nikiwa nina mtoto na niko ndoani huu mwaka wa 3, changamoto zipo ila sababu sio usingle mother, kuwa single mother ha kuingia hata kidogo, wengine wanaongea hivyo ila wazazi wao waliolewa wako wa single mother na wapo mpaka leo
  2. N

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Kama kuna alieoa single mother na anapata changamoto, shida sio usingle mother, shida inaweza kuwa ni mwanamke peke yake hata asingekuwa single mother hizo shida zingekuwepo tu au shida ni mwanaume ana mentality ya kwamba nimeoa single mother kwa hiyo nijipange kwa hiyo anakuwa mbabe kwa huyo...
  3. N

    Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

    wachaga wamwekeza sana mikoa mingine tofauti na KLM maana nabii hakubaliki kwao na hurejea makwao Dec Ndio maana ukienda Moshi vijijini kuna nyumba nzuri za makazi, hawajazaliwa mjini ndio maana hawaendelezi mjini ila kijijini, mji ni wa serikali
  4. N

    Ukatae au ukubali Kilimanjaro ndiyo mkoa wa watu wanaojielewa

    Ukweli 100%, mi mwenyewe mchaga, nimeajiriwa mikoa tofauti ukiangalia life style yao unasema nakushukuru Mungu kunipeleka KLM maana inashangaza saaaana na inasikitisha yaani maeneo mengi ni watu wanaoishi “leo” hawakumbuki kama kesho ipo
  5. N

    Changamoto ya ajira kwa vijana

    Unadhani kuwa na elimu ya juu ni kigezo kitakachokusaidia kupata ajira? Tunasisitizwa kuhusu elimu, lakini kwa nini mwenye elimu ya juu zaidi hapati ajira? Wanaogopa kumuajiri kwamba atakuwa juu zaidi yao au wanaogopa atatakiwa kulipwa mshahara mkubwa wasioumudu? Watu wana elimu za juu lkn...
Back
Top Bottom