Recent content by Nadia6

  1. N

    Natafuta Mwenza Muislam (mume)

    Asili😀
  2. N

    Natafuta Mwenza Muislam (mume)

    Majaaliwa tu ya Mungu
  3. N

    Natafuta Mwenza Muislam (mume)

    Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae: Muislam Kuanzaia miaka 34 na kuendelea Mrefu wastani Mstaraabu na mcheshi Ukiwa na watoto sawa Aijue dini kiasi *Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
  4. N

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Hongera Sana...wahenga walisema Mungu akikupa sema Alhamdulilah kisha funga mdomo..
  5. N

    Mapungufu yangu naona ndio sababu

    😅😅😅 Nikweli
  6. N

    Mapungufu yangu naona ndio sababu

    Tujenge nn😅😅
  7. N

    Mapungufu yangu naona ndio sababu

    Wapo, wakaka wambeya ndivo walivo wapole hawana sauti
  8. N

    Mapungufu yangu naona ndio sababu

    Hongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅
Back
Top Bottom