Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne na amefaulu tu vizuri cha kushangaza aja pangiwa katika posts amekata tamaa mana baba yake ana dhani ajafaulu.
Jaman wadau mbona mimi ndugu yangu kafaul vizuri tu na ajapangiwa kwenye post ayupo kabysa amekata ata tamaa mana baba yake ana dhan amefeli wakat haja felii nisaidien plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.