Recent content by naddin

  1. N

    Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

    nyie ndio wanafiki kutaka kila mnachokiwaza nyie kukihalalisha ndio sahihi, zamani hii forum ilikua ya watu makini sana lakini mme diverge nakuifanya ni forum yakueneza chuki kwa personalities na uislam. Wishes zenu ni kuona Slaa au mtu wa aina hy akitunukiwa tuzo lakini sio Lipumba. Lipumba...
  2. N

    Busega: Wajumbe wa Baraza la Katiba kata ya Nyaluhande wapatikana kwa 150,000/- kwa kila kichwa

    Nakwanini wametoa pesa? Wapi imeandikwa kwenye muongozo kua nafasi ile inauzwa? Kutoa pesa ni kapenzi tu ya mtu mwenyewe hivyo hatupaswi kulaumu mchakato mzima badala yake waliosimamia na wagombea wenyewe
  3. N

    Hali tete mazishi ya mchungaji aliyeuawa Buseresere

    Lazima cc wote tujipime kua hatuna udini miongoni mwetu? Matendo yanayofanywa geita na makundi yote ni udini na provacation, viongozi wa dini zote ndio chanzo cha haya, wameshindwa kuvumiliana na kuelezana kwa ustaarabu na kwa ukweli kuhusu mambo yanayowaabili na kuwakwaza, kwa mfano Serikali...
  4. N

    Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    Sio kitu cha basura hata kidogo kutoa namba ya mtu kama spika eti atukanwe na wananchi, hii ni demokrasi gani? Nikweli tumeamua kuwafundishanwatu wetu demokrasia ya namna hii? Hayakua maamuzi ya busara kabisa
  5. N

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Kuongoza kitaufa sio hoja
  6. N

    Mtwara walipwa Sh130 kupisha bomba la gesi...

    Ukizingatia kua ni eneo lilikua nyuma sana kimaendeleo ukifananisha na maeneo mengine nchini wanayo haki yakudai maendeleo kwa rasilimali zinazowazunguka. SOMA: WAKULIMA wa Kijiji cha Mangamba Manispaa ya Mtwara-Mikindani ambao bomba la gesi linajengwa na Serikali Kijiji cha Msimbati katika...
Back
Top Bottom