Elimu ya demokrosia nchini inahitajika sana, ili wananchi wengi waelewe haki zao za demoksia ndani ya nchi yao ili waweze kujikomboa ktk makucha ya watawala wa kiimla.
Elimu hiyo ya demokrasia iambatanishwe na elimu kuhusu sheria ya nchi ili wananchi wapate uelewa wa kutosha.:happy:
. Kwa hilo wote wanafanana, Pengine Zitto angekuwa afadhali km angelumabana na mbowe wakati wanapitisha budget ya kununua magari. Walipitisha wote budget, wanafahamu wamepatana kununua magari mangapi na ya aina gani na ya shilingi kiasi gani. Zito km ni mtu makini alitakiwa ajue hilo kabla...
Salamu wana JF. Pamoja na kuwa mimi ni mara yangu ya kwanza ktk kutoa maoni kwenye mtandao wako, ninayo machache ya kuchangia kimawazo. Leo napenda kuchangia sakatala CDM, La kulumbana Mbowe na zito kwenye kikao. Nimefuatilia habari hizi kwa karibu, lakini hazijanifurahisha. watanzania wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.