Recent content by nabii runy'o

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji uwakala wa betting

    ninahitaji uwakala wa betting kampuni yoyote ile
  2. N

    JamiiForums Tanzania msaada namna ya kupata uwakala wa batting

    nilimaanisha betting kaka
  3. N

    JamiiForums Tanzania msaada namna ya kupata uwakala wa batting

    mm niko mkoa wa kigoma nahitaji uwakala wa moja kati ya makampuni ya batting
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nauza gari isuzu direct injection

    8 milion kaka
  5. N

    JamiiForums Tanzania Harakati za kuidai 'CHADEMA Asilia' zitaanza tarehe 26 baada ya matokeo!

    Kwa nn msianzishe Chama chenu kama unaona cdm inakuzingua cdm sio mama yako wala baba yako. Kwa vyovyote itakavyokua mapambano ya kulikomboa taifa letu yataendelea mpaka watawala watakaojua kua hii nchi niyetu sote
  6. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya ukumbusho, Je unaweza kuwajuwa hawa akina nani?

    Kumbe kinana alikua na cheo kikubwa kuliko jk?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Daima nasemaga ubunge wa mkosamali uko mikononi mwake ila kiburi na zalau zake walah hatarudi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Kutoka kwa mkosamali labda azicheze kalata zake vibaya,. Ushauli tu bwana ferix akae na jamaa wa cdm na cuf wapange mashambulizi ya kweli jamaa awaachie udiwani kote ambapo hakuna diwan mpinza na yy abane kwenye ubunge lakini akileta zalau kama alivyofanya kwenye selikali za mitaa itakula kwake...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    ulichoandika ni ukweli, ukweli mtupu mungu naomba unidaidie
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    watubu kwanza
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    umeongea la maana inawezekana kwenye hilo kind I ye alikua kifata mkumbo kama lilivyo jina lake
  12. N

    JamiiForums Tanzania Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

    sisi ndo cc wengine ni mafic. kidumu ccm jamani
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete, maisha magumu mbona umewasahau wananchi?

    tunaweka pesa kwa ajili ya 2015 uchaguzi tunahic utakua mgumu sana coz na cdm watakua na pesa wanazolimbikiza za luzuku.ila cc hatuna mda wakulimbikiza ruzuku wakati kuna maboya tunayaminya kwenye kodi na ikifika 2015 tunawaludishia kwa kuwapa tshart,kofia na kanga ili mtuchague tena kidumu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni NGOME ya CHADEMA, VIongozi halali wa CHADEMA wanakaribishwa MCHANA na USIKU

    huyu dogo zzk na kabulu wanatuzalilisha waha na matamaa yao. ili tuonekane waha wote wanatamaa kama ilivyo wao wakati ni wabembe pyua. hakuna muha KABWE wala KABULU hayo ni mabembe ya congo yanakuja kutuchafulia sifa ya mkoa wetu nakama kuna mtu anabisha kama sio wabembe ajitokeze aniambie maana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    chadema
Back
Top Bottom