Amepuuzwa sana huyu nashangaa anaandika na kujijibu mwenyewe.. Hivi ukiachana na kuandika makala za malalamishi na zisizo na facts huyu YERICKO NYERERE anajishughulisha na nini.?
Ok mkuu basi kwa Mwinyi kuwashukia na kuwaweka hao watutsi kizuizini huko Mwanza sio hoja tena eti CCM ilihusika kuwasuport intarahamwe bado ni uzushi mkubwa..
1. Zanzibar haijawahi kuridhia Muungano na kwa hivyo Hati ya Makubaliano ya Muungano [yenye saini ya kughushi] si halali
2. Nchi ya Tanzania ina wakuu wa nchi na maamiri-jeshi wakuu wawili na kwa hivyo ina mgogoro wa kikatiba uliozaliwa na mfumo wa serikali mbili
3. Mwl Nyerere alitumia...
Hawa si wanajidanganya mitandaoni vyuoni na mitaani wengi ni mbili.. Wameshastuka tatu hazina tija zitaleta vurugu za wasaka tonge si umeona hata kuzi defend tuu bungeni wameshindwa wamekimbia bunge wanakuja kwa wananch wakat katiba ikishatungwa wananch ndio wamwisho kuipitisha.. Sasa waswas wao...
Haya naona unalazimisha facts zako ziwe kweli.. Kwa mfano jirani yako una ugomvi nae mpaka mkatukanana na kupeana vitisho mbalimbali hata kutishiana maisha, baada ya siku mbili huyo jirani yako akakutwa ameuawa kwa kuchomwa visu. Alafu wewe ukaonekana ukishangilia kwa furaha na ukinywa bar. Hebu...
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.
1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza kumzidi. Ukisikiliza namna alivyochangia utagundua kuwa Tundu Lissu alisoma vijarida tu vya sheria...
Hawa ndio wanaharakati uchwara. Cha ajabu mwanafunzi wa Kubenea Yericko Nyerere naye ana support ujinga kama huu anasahau kama yeye ni muandishi makala gazeti la ----- anaunga mkono facts za uwongo kama hizi zenye stori za kufikirika.
Wewe una umri gani mpaka ujifanye unaijua sana ccm.?
Japokua sijui chama chako ngoja nichukulie wewe ni chadema. Swali linakuja je wewe utashabikiaje chama cha wanaharakati badala ya chama cha siasa.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.