Recent content by Naantombe Mushi

  1. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Kwahiyo unashauri nini? Hakuna umuhimu wa mrengo mpya wa kisiasa, kupitia kuasisi vyama vipya?
  2. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Sijakuelewa unavosema, "kwa mara ya kwanza CCM wamepata mpinzani mwaka 2025." Una maana gani haswa? Gen Z kwako ni wapinzani?
  3. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Nchi ya watu milioni 70; haiwezi kuwa shida kupata wanachama watiifu 2000 wa kukipigania chama. Ni mipango tu, wala sio shida.
  4. Naantombe Mushi

    Kwa mtaji wa 50 Milioni nizalishe bidhaa gani niingize sokoni kuutafuta utajiri

    Fungua kiwanda cha kusaga unga wa ugali na lishe. Ila, niandalie kama 1,000,000 kwa ajili ya kukuandalia andiko bora la kibiashara na ushauri. Chonde chonde, jihadhari na biashara ya uchuuzi. Siri ya utajiri ni kumiliki kiwanda.
  5. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Ukiwa na nia na watu thabiti, hizo hila zote ni rahisi kupambana nazo
  6. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Bila vyama imara vya siasa, sahau kabisa kuwezekana kwa katiba mpya. Katiba ni mchakato unaoanza kwa wanasiasa.
  7. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Penye nia pana njia. Hata kama msajili ni dola ila ukiwa na wazalendo wa kweli, uwezekano wa kuwa na vyama imara unakuwa ni mkubwa
  8. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Kuundwa vyama vipya vya siasa, kwasababu vilivyopo havikati kiu ya watanzania
  9. Naantombe Mushi

    PostGE2025 Hichi kipindi ni fursa adhimu ya vuguvugu jipya la vyama vya siasa nchini

    Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho. Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na ubabe wa Chama cha Mapinduzi (CCM)," ila ki uhalisia kabisa, chanzo kikuu, mimi naweza kusema, ni...
  10. Naantombe Mushi

    Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

    Hoja zako zimeshinda
  11. Naantombe Mushi

    Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

    Embu mwaga madini mkuu tufaidike
  12. Naantombe Mushi

    KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

    Kuweni wapole raia, serikali yenu inaandaa hadidu za rejea ili kuja andiko la mpango mkakati, la namna ya kutatua hii kero.
  13. Naantombe Mushi

    RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Bahati mbaya sana kwenye mabwawa ya kuhifadhi maji, nchi haijaweka nguvu kuwekeza huko. Mabwawa ni solution nzuri sana ya chanzo cha maji
  14. Naantombe Mushi

    RC Chalamila: Mgawo wa maji Dar uwe na ratiba kamili

    Kabisa mkuu. Makampuni mengi ya maji yanachimba chini.
Back
Top Bottom