Recent content by n__athan

  1. n__athan

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Well said ila labda kocha asiwe Solskjaer!! Hivi game ya leo dhidi ya PSG kulikuwa na ulazima wowote wa Fred kurudi uwanjani second half??? NB: Halafu hapo bench alikuwa na sub 5.
  2. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Glory to Jesus asante sana kwa ushuhuda mkubwa!! God bless you🙏🏻🙏🏻🙏🏻
  3. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Well sidhani kama hilo ndio suluhisho la kukabiliana na mabadiliko ya kimwili coz masturbation ina madhara both physically and spiritually!! Baadhi ya Madhara ni haya; 1. Masturbation inaleta self condemnation and guilty 2. Its addictive 3. Inafungua mlango wa roho chafu (nguvu za giza...
  4. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    😂😂😂 kujitangaza hadharani sidhani kama ni vibaya lakini naamini ni hatua mojawapo ya kupata msaada na ushauri kwa watu waliowahi kupita kwenye shida ya namna hiyo ili waweze kushare mawazo namna ya kukabiliana na tatizo!! Pasipo mashauriano ni rahisi kuanguka lakini katika wingi wa washauri...
  5. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Well said bro jibu zuri kabisa mimi ni mmoja wao niliingia kwenye gereza la masturbation nikiwa na miaka 14!! Je ilinipasa kuoa at that age?
  6. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Asante Mkuu nimekuelewa pia nilicho maanisha ni kwamba since masturbation ni kitendo ambacho humuingiza mtu kwenye addiction mara nyingi huwa ngumu mtu kuacha kwa urahisi hata kama ameamua kuoa na amekusudia kuacha since masturbation its addictive!! Imagine kwa mtu ambaye amezoea kupiga punyeto...
  7. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Glory be to God bless you too🙏🏻🙏🏻
  8. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Sahihi inaishi akilini tena kwa njia ya mawazo ndio maana mtu akifanikiwa kudhibiti mawazo mabaya yasipate nafasi ndani yake huwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda lustful thoughts zinazopelekea mtu kufanya masturbation. It is written be careful on how you think because your thoughts shapes your...
  9. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!! Wapo watu ambao wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa walidhani kuoa ndio itakua suluhisho la kuacha masturbation lakini bado wamejikuta wapo kwenye tatizo lile...
  10. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Solution to masturbation siyo kuoa!! Kwa sababu wapo wengi walio kwenye ndoa na bado wanapiga punyeto!! NB: Naheshimu mawazo yako na mtazamo wako kwa kile unachoamini.
  11. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Glory be to God nakuombea pia brother!! Keep on confessing your sin mbele za Mungu yeye ni mwenye rehema atakusamehe na kukupa hatua mpya. if possible tafuta rafiki wa karibu na mwaminifu atakayekua anakutia moyo na kukuombea ili usipigane vita hii peke yako!! Yakobo 5:16b Ungameni dhambi...
  12. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Amen God bless you unayaweza mambo yote katika yeye akutiaye nguvu!! Keep the good fight usikate tamaa the victory is yours!! Zaburi 119:11 moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi!! Jitahidi kwa msaada wa Mungu kusoma neno na kulitafakari ili kila mawazo ya kufanya...
  13. n__athan

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Nakutakia kila la heri lakini fahamu upo kwenye spiritual warfare (vita vya kiroho) kwa sababu masturbation hufungua mlango mkubwa sana wa spirit of lust (roho ya uasherati) kuingia ndani ya mtu na hatimaye kumfanyà mtu kushindwa kujizuia unaposikia hamu ya kufanya masturbation. Na kinachofanya...
  14. n__athan

    Fatuma Karume: Kwa mujibu wa Tanpol kicheko cha Idriss kimemsababishia "emotional distress" Rais John P. Magufuli

    Kuwa mwenye hekima au mpumbavu ni chaguo!! Hakikisha unachagua lililo sahihi kwako!!
Back
Top Bottom