Recent content by Mzumbe Sec. Alumni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Interior Before and After...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Mkwawa village... mojaone
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Asante sana kwa kututia moyo na kuendeleza uzalendo kwa vitendo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Kijiji chako Mkwawa kiko kwenye hali mbaya. Tunaunganisha nguvu za wazumbe wote tuboreshe mazingira. Karibu tuijenge Mzumbe yetu. Tujivunie Mzumbe kwa vitendo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Before and after...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Ujenzi unaendelea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Mojawapo ya vyoo vya wanafunzi kinavyoonekana baada ya kukarabatiwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Wanachama wa alumni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Milango inayotumika kwenye majengo yaliyokarabatiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Mkuu wa shule mstaafu mwalimu Msuka akiwa na wanachama wa alumni kwenye mahafali ya kidato cha sita. Mwalimu Msuka ndiye aliyekuwa mkuu wa shule wa kwanza baada ya shule ya sekondari Mzumbe kupewa hadhi ya shule ya watoto wenye vipaji maalum...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Nembo ya alumni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Wanachama wa Mzumbe sec. alumni walipohudhuria mahafali ya kidato cha sita tarehe 25.04.2015. Katika mahafali hayo, alumni ilitoa zawadi kwa wanafunzi wote waliofanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali pamoja na kukabidhi majengo yaliyokarabatiwa. Mwenyekiti wa alumni nd. Eddy Talawa alikuwa mgeni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Fundi kazini. Ukarabati unaendelea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Mwanachama wa alumni, Emmanuel Mhagama, akitathmini jengo ambalo litaanza kukarabatiwa hivi karibuni. Pamoja na kuchanga pesa, wanachama pia wanajitolea kusimamia kazi za ujenzi. Jumuiya ya wazumbe inatambua hali hiyo kama Mzumbe spirit...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Secondary Alumni

    Mwanachama wa alumni, Oscar Roman Chamlima, akikagua kazi za ujenzi zinazoendelea Mzumbe sekondari.
Back
Top Bottom