Recent content by mzozo wa libya

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia fuata mambo yako

    pole ise hili nalo litapita
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    chakwanza hauja muoa mnaishi sogea tukae, mwambie kwa tabia hizi moja,mbili, tatu,sitaweza kuzivumilia full stop ikiwa hatoweza kuishi kwenye njia zako basi uvunje vioo vya nyumba, mara achane nguo ise
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    hii kitu nimeshindwa kuisahau kabisa baada ya mimi Kukataa kwenda kumchukua alitangazia watu kuwa nimekataa mtoto, pia ulisema bisahau kuwa nimezaa nae sababu nilimkataa mtoto, hii kitu inaniuma mno
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    mtoto ni wangu na tunafanana mno ni wakike, iliniumiza sana tulivyoachana alienda kwa kaka yake ila alikataa kata kata kuwa ni rafiki yake tu hakuna chochote akataka mpaka anipeleke kwa huyu jamaa kuthibitisha mimi nilikataa, baada ya kuona mimi nipo kimya akaenda arusha kwa dada yake baadae...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    mtoto niwangu na tunafanana sana ni wakike, ila tulihitrafiana baada ya kuona hizo SMS zilileta mno utata mpaka kwa wazazi wake ilikuwa shida tukahitrafiana nilikuwa natuma pesa kwaajili ya mtoto baadae akauliza naenda kumchukua lini kwao kilimanjaro,na wazazi wake walitaka mimi niende ila...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kusalitiwa kwenye mapenzi, Ilikuaje?

    mimi nilifumania SMS za jamaa amemmisi mpaka jamaa anaomba bibie wangu Amzalie mtoto,kumuuliza akapata hasira akaondoka baadae ndo akarudi kuomba msamaha nilimwambia hatutaweza ishi pamoja tena. maumivu yake acha kabisa huyu tulikuwa tunaishi mke na mume na tulikuwa na mtoto tayali.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

    mtu yeyote ambae mkijadiliana,au kupishana kwa kauli kidogo anataja Neno Bora tuachane hapo upendo haupo abot mission mkuu tafuta marisho sehemu nyingine
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    hii ilinikuta tulipoachana sikumtafuta tena, anavurugu 😁 hata mimi simuelewi
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    nilikutana na mdada mda wote ananisimulia mambo ya x wake, mara nafanana nae. anakatika hovyo hovyo kama ana wazimu, anatoa mlio wa ajabu ana speed hata raha amna ni mchaka mchaka.nilivyoachana nae nikafuta namba yake.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

    hii ilinikuta tulipoachana sikumtafuta tena, anavurugu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello future Hubby

    mambo ayo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nalaani wananchi kushangilia mitandaoni ajali ya basi la wabunge wa JMT

    nineumia mno hakuna aliepumzika kwa amani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukikutana na mtu ambae hukumchangia harusi yake basi utakuta hakuchangamkii kama zamani

    kila mtu abebe msalaba wake kutafutiana lawama tu
Back
Top Bottom