Recent content by Mziwanda Wa Mziwanda

  1. Mziwanda Wa Mziwanda

    Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    😆 Niwashawishi Wana bodi wanunue hisa sio?
  2. Mziwanda Wa Mziwanda

    Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    Ahsanteni wakuu kwa ushauri wenu ,nimepokea mawazo yenu ntafanyia kazi, Nimesoma comment zote na nimeelewa!
  3. Mziwanda Wa Mziwanda

    Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    Habari Zenu wakuu!!!! Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa! Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha...
  4. Mziwanda Wa Mziwanda

    Natafuta mashine ya juisi ya miwa

    Mkuu nicheki 0686525189 , ninayo mashine ya juice ya miwa IPo mbezi ina Good condition!!
  5. Mziwanda Wa Mziwanda

    Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

    Mihogo posta lazima utapiga pesa , kuna jamaa wameanzisha kuuza mihogo within this week pale mtaa wa sokoine\ luthuli posta , watoto wa IFM wanaifakamia kama maji.
  6. Mziwanda Wa Mziwanda

    Kuuza genge

    K vizuri mkuu , najua bidhaa hizo tatu Kuu muhimu unaweza nitajia?
  7. Mziwanda Wa Mziwanda

    Kuuza genge

    Mmh ntaangalia mkuu
  8. Mziwanda Wa Mziwanda

    Kuuza genge

    Asante sana wazo zuri
  9. Mziwanda Wa Mziwanda

    Kuuza genge

    Maeneo ya Congo lamboto mzambarauni pale! Niweke meza niuze , sasa niko dilemma sijui niweke genge? Na jee sijui itatosha?? Msaada wenu wakubwa
  10. Mziwanda Wa Mziwanda

    Kuuza genge

    Habari zenu wakubwa! Nina mtaji wa laki moja nataka uza genge au niuze Machungwa ,je kwa mtaji huo utatosha kwa biashara ipii? kwa wataalamu unatosha wa hizo kazi?? Naheshimu mawazo yako! Ubarikiwe
Back
Top Bottom