Ila ikumbukwe kuwa imetangazwa elimu bure toka shule ya msingi mpaka kidato cha nne lakini bado mabenchi wazazi wanachangia,chakula shuleni nk. Nini maana ya elimu ya bure!!?
Wakati mwingine wanaume wanavaa saa kama wanawake wanavovaa Banhili tu,so sio ajabu mtu kuvaa saa isiyo na majira kama sehemu ya utanashati tu.[emoji123]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.