Sishangai kutokea makosa hasa kwenye masuala sensitive kama mtihani. Kuna watendaji wa serikali wameaminiwa kuamua masuala nyeti bila kuhasisha watu wengine. Si ajabu kukumbana na "typing errors" kwenye documents muhimu za serikali ikiwemo mitihani na barua mbalimbali tena zikiwa zimesainiwa...
Ha ha haaaa..... Makosa mengi sana hutokea katika idara za serikali hasa "typing errors". Hii inachangiwa na watumishi kufanya kazi kwa mtindo wa "Bora liende" ili mradi mishahara wanapokea na vijisemina wanahudhuria. Ni kulipualipua tu na mara nyingi hakuna mtu anaye hakiki.
Wasijumuishe wananchi wote wa Pwani. Those are hopeless citizens ambao wamepandikizwa tu na wanasiasa wa Chama tawala.Let us see ile kauli kama itafanya kazi"Tumechoka wapigwe tu". Hii nchi inapaswa kuendeshwa kwa utawala wa sheria na siyo ubabe.
Hajamuwajibisha huyo diplomat. Ndo maana ameshindwa kujibu lile swali kwa ufasaha kwani limekuwa la moto. Inaonekana hakutegemea kabisa issue ile kama ingekuwa serious kiasi hicho.
Congratulation Jr. Ulimwengu!! Hivyo ndivyo nchi ilivyo kwa sasa.
Hilo liwe somo tosha kwa watumiao sanduku la kura katika mtazamo hafifu. MUNGU BARIKI TANZANIA!!
Suala la maendeleo lipo chini ya wananchi wenyewe kupitia sanduku la kura. Wake up now and make your wise decision to resque the country. Democracy is peoples' power!!!! Congratulation Hon. Nassari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.