Recent content by Mzigua36

  1. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
  2. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    😂😂🙌🙌
  3. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Nilikua sijui kumbe wanatuma message kabisa Mimi nilipeleka fomu Tarehe 06 ambapo nikapigwa picha na fingerprint then wakaandika kwenye kimemo natakiwa kurudi Tarehe 06 mwezi wa 9 kumbe Kwa DSM apa wiki 2 tu ishatoka? Basi itabidi nikafuatilie kuanzia wiki zijazo huko
  4. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe vs Pyramids mechi inaanza saa tisa Lubumbashi, Mamelodi mechi zake na Waarabu ni saa tisa. Kwanini Yanga iwe saa 1?

    Huna Akili... kwamba huelewi kinachoendelea DRC? Mechi gani kwa kipindi hiki umeona zikichezwa saa 1 za usiku? wanafanya hivyo kwa usalama zaidi sio kwamba wanajipangia tu
  5. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Relaax Afisa Habari Daraja la 2 😀😀😀 sema two way traffic itawanyoosha wengi sana
  6. Mzigua36

    JamiiForums Tanzania Tiketi za mzunguko bure Yanga vs Medeama

    Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM. Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za mzunguko zimenunuliwa hivyo Wananchi (Yanga) wataingia bure na kiingilio chako kikiwa ni jezi yako ya...
Back
Top Bottom