Ya kweli kabisa..
Kama mbunge anasema haongei na mbwa bali mwenye mbwa..tafsiri ni kwamba kawatukana wote..kuwa mote humo ndani ya Bunge ni mbwa , akiwemo yeye..na Spika na naibu wake ndo mwenye mbwa..
Nilitegemea spika angekemea lakini alikaa kimya..
Bunge limekuwa aibu tupu...
kama wabunge...
Hii habari inasikitisha sana..
nadhani wakati umefika kwa kuwa na fomula kwa misafara ya viongozi..
maoni yangu;-
1. msafara uanze na pikipiki na king'ora..
then magari yafuate..hata kama ni mia..
then last pikipiki kufunga msafara..
kwa hii fomula hata Traffic mgeni atajua wakati gani aanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.