Hapa sasa wananchi tuelewe nini kwamba ushaidi hupo au watu wanatumia kings ya bunge vibaya. Kwa nini anasemea bungeni badala ya kupeeka
Swali langu ni kwa nini anasemea bungeni badala ya kupeleka polisi? Huku ni kutumia kinga ya bunge vibaya kwa kuwa anajua polisi haweeezi kuhoji chochote...
Mimi ni mteja wa CRDB na NMB na wote wanatumia MasterCard mitandao ya kibeberu ambaya lazima kuwe na kadi fee kwa kila mwaka, kadi hizo zina madaraja pia kuligana na kipato chako, daraja LA juu wengine huita fastrack card na wengine gold n.k na gharama in tofauti. Kama ungeenda kwao...
Ningeheshimu hoja yako hii kama hizo hoja zingetolewa na verified member lakini kwa wewe unayejificha kwa Ids fake unaweza ukawa ni MTU mmoja tu mwenye id tatu
Kama ulitaka govana ajibu pasipo sisi kuhusika umeileta huu Uzi JF kwa kusudi lipi? Ndio maana tunasema nia yako ni kuichafua CRDB tu. Wenda umetumwa wewe
Mimi namshangaa kutoa hoja ambayo inaweza kufanya watu wakaacha kutumia benki bila kufanya utafiti wa kutosha.kwanza hautwambia Hiyo card fee unalipaje? Kwa mwezi,kwa mwaka au kwa muamala? Ili tuweze kulinganisha vizuri
Jamani tuache kulusha vitu vya hatari kwenye mitandao,tukumbuke Benji zinaaksi uchumi was nchi,ajira na maendeleo ya watu. Hebu nikuulize umeanza kukatwa lini hizo card fee? He umewahi kuchukua jedwali za gharama za benki? He umewahi kulinganisha gharama za benki nyingine au mitandao ya simu...
Kosa letu watanzania tumekubali kugawanyika kwa msingi ya udini,ukabila,uvyama na ukanda.mwalimu JKN amewahi kusema kwamba watu wakikosa hoja ukimbilia udini na ukabila.hoja ya kuvunja katiba INA husiano gani na chama au dini au ukabila LA mtoa hoja?
Kumbuka hata SGR ni mzungu pia. Hawa mabeberu ni kwanza hawana mipaka wala kabila ni mfumo wa maisha ya dunia yaani ubepari. Hebu tujiulize Mwl Nyerere alipoamua kufuata siasa za kutofungamana na upande wowote hakuwa mjinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.