Recent content by mzeemasumbuko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Circumstantial evidence. Hivi kuna uhakika kuwa nanihii iko ndani ya nanilii? Mbona ni kama anarukaruka tu?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Haa haa. Ndugu wawili wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana chukua panga ukavune.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

    Akili vichwani mwenu wapiga kura. Angalieni watu wanaokwenda Bungeni kama ni kwa ajili ya kiwawakilisha su kujiwakilisha wenyewe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuulizana makabila wakati wa kupatiwa huduma za Umma?

    Kwa kweli kuuliza kabila ni kero. Wako watu wengi siku hizi kabila zao ni mchanganyiko ba hata lugha za makabila yenyewe hawajui. Mnaulizana makabila mnataka kutambika?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi

    Haramu ni haramu tu hata kama kila mtu anaifanya na dunia kuiona ni sawa.
Back
Top Bottom