Recent content by Mzee_2015

  1. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Ahsant Mkuu. Kuna masomo mengine yapo hewani .(Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya Pili) - Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)
  2. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Weka juhudi zako utafanyikiwa Fwatilia somo lengine
  3. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Du courage !!!
  4. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya Pili)

    Wadau wa jadwali hili leo nakuja na somo jipya.Jifunze baadhi ya majina ya Matunda Na mboga mbali mbali kwa lugha ya Kifarasa.Kama wengi wenyu mlivyopendekeza ktk coments zenyu Nilizifanyia kazi kisha Nakuja na somo hili jipya. Hamna mtaalamu anae jitosheleza bila kukumbushwa au kukosolewa...
  5. Mzee_2015

    Jifunze kifaransa kwa Kucheza!!!!

    Naada Somo jipya .Naomba mapendekezo yenyu !!!!
  6. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Karibu !!! ila ukihitaji msaada wa ziada Pm
  7. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Anza practice kwa kusoma majarida ya mtandao na kuskiliza nyimbo kifaransa kitapnda
  8. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Mbona unaongea kifaransa vizuri?
  9. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    J'ai pris note et j'ai revisé la prononciation....Merçi pour la correction
  10. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Eleweka vizuri Bonny Unataka kujifunza nini? Pengine utapata msaada hapa
  11. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Regarde dans la rubrique "JUKWA LA LUGHA" il y'a des sujet des cours d'Anglais à moins tu veux avoir un instructeur privé?
  12. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    USITULETEE MCHEZO (anzisha mada yako ya lugha unaoizungumza .
  13. Mzee_2015

    Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

    Usijali Tunaenda mwendo mdogo mdogo !!!!
Back
Top Bottom