Recent content by mzee wa nzegea

  1. M

    Nssf oral interview

    Habari wanajamii wenzangu, kwa aliyefanya oral interview ya nssf baada ya writen 2 ifm, atujuze ilikuaje ?maana kuna dogo langu anasema, amepigiwa leo tar 3 march aende kwa oral jmos 14 march pale nssf hq.
  2. M

    Wizara ya Mambo ya Ndani waita usaili

    Haja vijana wetu mlioomba nafasi za koplo na constable wa UHAMIAJI, wametoa majina ya waliokidhi vigezo vya usaili jitazame ktk website ya mabo ya ndani Kila la heri vijana.
  3. M

    Natafuta gari nzuri ya kutembelea kadogo isizidi cc1000

    nna vitz namba A, ila iko poa 2.9 m, km unahitaji nipm
  4. M

    Tetesi, watu wameshanza training ya kazi ktk idara ya Uhamiaji.

    Hao inaweza ikawa ni wale wakaguzi wasidizi mkuu, kwani wao ndio walikuwa wengi zaidi pale uwanja wataifa waliteuliwa 70, wamesahaulika ktk tamko la katibu hivyo wao walikuwa na haki ya kuendlea, waliositishiwa ajira ni watu 200 wa koplo na constebo wa uhamiaji.
  5. M

    Je, Mwamkinga Auction Mart wako juu ya sheria?

    Lkn hawa jamaa wanapewa kiburi na watu fulani jiji wala sio bure!lakini kamanda IGP Mangu mtendaji mahiri ndani ya jeshi, sina hakika kama anafahamu wanachokifanya askari wake wa polisi, sina imani kama wamekosa kabisa kazi za msingi za kupangiwa wakafanye kwa ulinzi na usalama wa mtanzania...
  6. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    wazee km vigezo vipo mngejaribu na polisi wametoa nafasi, ingawa hawa baba yao mmoja hivyo kubadilika tabia ni nadra sana, lakini mngejaribu na huko labda inaweza kuwa bahati badala ya kuwasubiri kwa hamu kiasi hicho hlf wasiporudi na majibu ya kuridhisha inaweza kuwaletea shida hata...
  7. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    Duuh nadhani ugumu nnaoupata mimi ktk walau kuwaza namna ya upatikanaji wa suluhu kwa hawa jamaa wa uhamiaji na watu wengine watakuwa wanaupata, km ni hivyo itakuwa mchakatao mzima ulikuwa na tatizo lakini je wanaweza kujitoa kwa kurudia usaili mmmmmmh! sina hakika na kigezo wanacho kwamba...
  8. M

    msaada tafadhari

    Hakuna maelekezo katika aina ya uandishi hivyo ni mapendekezo yako mkuu, ushauri kama unahisi mwandiko wako unaridhisha kwa wasomaji andika kwa mkono utakuwa umewashawishi zaidi kwa kuona upekee wako, lakini km unamashaka nao chapa we tia saini tuma mkuu.sambamba na katika lugha km ya kigeni...
  9. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    manumbu heri uwe unakaa kimya kama huna mchango, hii si sehemu ya kuleta mipasho,' kukaa kimya ni sehemu ya busara'.
  10. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    mgonjwa maswali yanaelekezwa upande wako zaidi, kwa sababu unauwezo wa kubadilishana mawazo na wanaohusika, sasa basi endelea kuwaambia ya kuwa bado tuna imani na hatua za katibu mkuu wa wizara, ila ushauri kwa dhamira yake ya dhati ya kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi kwa sifa na vigezo tu...
  11. M

    Je, Mwamkinga Auction Mart wako juu ya sheria?

    Hawa jamaa inaonekana wamepewa tenda na Jiji la Dar, bila kukubaliana mipaka ya kazi au kwa kujisahaulisha ili kuweza kupitisha mambo yao ndani yake. Tamko la mkuu wa mkoa wa Dar MECK SADIKI, lililotolewa mwanzoni mwa mwaka huu, ni marufuku kwa kampuni yeyote ya auction mart kuvuta kwa brake...
  12. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    Mgonjwa utakuwa unahusika na kashfa ili hali aliyekuweka anaendelea kukupa imani na kukupatia taarifa za ndani kabisa hlf unadanganya umma nawe ni mtoto wa mkulima uliechaguliwa kwa nguvu za mungu, kumbe ni kwa nguvu za anayekupa taarifa za ndani ya idara, ila mng'ang'anie ahakikishe...
  13. M

    Day 1 !!! Uhamiaji

    Ni kweli ktk tuhuma kuna mambo mawili yanatarajiwa ambayo ni kubainika kwa ukweli wa jambo au kutokuwa na ukweli wa jambo husika, ila ktk suala hili kama isipohusisha siasa za aliyeko juu mngoje chini, nyanya zakutazamwa ni UHUSIANO - Hili la kwanza sababu liliweza kuwekwa bayana na vielelezo...
  14. M

    Hivi kwanini ajira za uhamiaji zinalalamikiwa na Watanzania wengi?

    Ni kweli lkn pia si tamko tu, tunajua ni gharama sana kurudia usaili, lkn tulipofikia sasa ktk tanzania yetu, km tutahitaji haki itendeke itabidi ktk kufanyia usaili watahiniwa waalikwe watu kutoka nchi nyingine, wafanye usaili hadi kutoa majina na kuyatangaza public, gharama si kigezo, sababu...
  15. M

    Hivi kwanini ajira za uhamiaji zinalalamikiwa na Watanzania wengi?

    watanzania walio wengi wanalalamikia idara hii ya uhamiaji kwa sababu 1)Namna zoezi lilivyoendesha lilikuwa na kila dalili za ubabaishaji, huwezi kuita watu zaidi ya 10,0000 wakati unahitaji watu 70 hata ingelikuwa 500.not fare utatumia kigezo kipi kupata unaowahitaji kwa ratio ipi...
Back
Top Bottom