Hbr za asubuh wana Jamii..
kama kichwa cha hbr kinavosoma. mimi na wenzangu watatu tumelima tangawizi takribani heka 8.Na ninavoandika huu ujumbe, ni kwamba mzgo uko tayari kuvunwa kule Songea.
Changamoto kubwa nikwamba nimekua nacheki bei sokoni naona zinasoma 2000 kwa kilo wakati ununuaji wa...
Dah.. mkuu wewe kweli una akili.. hata mimi nilikua sjaona kwamba ni tshirt ya sku nying.. hata na hyo suruali pia ya sku nying..he he he.. bro amka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kumbuka kwamba ths z an online company/biznec. Nina uhakika baada yakununua bidhaa ulipata risit kwenye email yako ikiendana na tshs ulizotoa.
Kuhusu kutafuta mda wa biashara, ni jinsi gani unajipanga. Naamini kwa kupania na baada kuielewa biashara na jins gani utajitengenezea kipato, basi...
Ahsante mkuu kwa maelezo yako. Ofkoz, there is no easy money nor quick mny au asikwambie mtu kwamba thz z a fast get rich scheme. Ntaongeza kwa ulivyoweka bayana.Ila as long as umeielewa biashara na mfumo wake wakipato, kazi inabaki kwako.
Tufanye kitu very simple guys,tafuta mda, kapate info...
Opera Mini...naomba ufanye research yako vizuri kuhusu Qnet.ukitaka info iliyo sahihi nenda website ya kampuni. Internet,kila mtu anaandika anachotaka kwa jinsi ya maoni yake.sikushangai mkuu..hata haya ntayachukulia kama maoni.otherwize kama ulienda seminar, ukawa na mashaka, ungeuliza maswali...
Dah.. I tell what guys, mimi nilivoona Magu kaunda kamati yake wakat bunge walikua wameunda yao pia nkawa najua kifuatacho ni majanga...haya ngoja tusubiri...
Common sense is nt common....haiwezekani serikali ikafanya vitu halafu wanatoa na takwimu za uongo watu tusihoji. Hi sio myaka ya 80 au 90...sasa hv info zinapatikana nje nje. Sasa kama info zinapatikana halaf tunapigwa changa la macho kwanini tusiulize? Nyie mnaosema hakuna haja yakuuliza kama...
Anaesema wanaomshauri ndo wanampoteza..hv unajua huyu jamaa ashauriki. Kama kitu akikisimamia hakuna anaeweza kumwambia vinginevyo.na hi tabia ni tangu yuko ujenzi(wizara). So make no mistake, huyu jamaa ni one man army. Umeskia juzi anakwambia kbsa cheti cha kwenda kugombea alifanya maamuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.