Recent content by mzee wa mapendo

  1. M

    Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    yaani umegeuka kuwa msemaji na mtetezi wa wanawake kabisa?
  2. M

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    upendo kwa upendo ila sio upendo kwa hila, usaliti, na chuki za kimya kimya.
  3. M

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    cherehani huo umefanya uwekezaji sasa hapo kimahesa ataolewa na hiyo cherehani. Na wewe utaenda kwenye daraja
  4. M

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    washindi ni kutoka mkoa wa kirimanjaro tuu.
  5. M

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    umekosea na umesau mjumbe makubaliano yetu yalikua ni kumsomesha chuo cha biblia tuu. Si vinginevyo!
  6. M

    Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

    uongo ni dhambi na ni kosa kisheria.
  7. M

    Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    ndio ile unakuta kila siku ngumi yaani majirani ni kusuluhisha tuu. Unasikia katikati ya ugomvi mwanamke nasema kwa kinyiramba ,,owe mbwanewe untore umborage onilye na nama,, hawa ni wakorofi balla lakini pia wako mara mbili ukibahati ile aina yao nyingine mbona utafurahi na kujisifu unajua...
  8. M

    Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    tumewatawalaje sasa? Rais mnae wa kwenu na serikali yenu, sisi tanganyika hatuna rais pia hatuna tulichonufaika kuungana na nyinyi zaidi ya kero makerere ulalamishi na pia sisi watanganyika kupata hasara kuungana na kainchi masikini kasiko na rasilimali yoyote kenye watu wavivu kufanya kazi...
  9. M

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    halafu walipokua na umri wa 20, to 27 wakitongozwa na waoji wenye nia unakuta walikua na majibu ya uharo. ,Mara ooh nina mtu wangu mara kwasasa sifikirii ndoa labda huko badae badae ni make money kwanza, au hivi ukiniangalia mi na wewe kweli tunaendana, nk. Halaf wakifikisha umri wa 30 to 40...
  10. M

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    jinsia ke kwa ujumla ni mashetani. Kwani umesahau pale edeni kulitokea nini? Umesahau wafalme na wakuu mbali mbali jinsi walivyouwawa na ke samsoni, yohanna mbatizaji, magufuli, carlos, nk, unadhani hatujui lengo la mkutano wa beijing? Au makubaliano ya shetani na mwanamke? Yaani ke wote...
  11. M

    Kupanda Ligi Kuu kwa timu ya KenGold inadhihirisha kwamba Mbeya ni mkoa wa soka na Vipaji. Kwanini Serikali haijengi uwanja wa kisasa Mbeya?

    sasa kama ni upuuzi umeingiaje kwenye jukwaa la michezo kuchangia kwa unaouiita upuuzi.?
Back
Top Bottom