Recent content by Mzee Wa Liverpool

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Jamani mwenye matokeo ya Mbarali, Tukuyu na mkoa wa Ruvuma ashushe hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba anaishi kwa mlo wa CCM kwanini anaishambulia Serikali

    Huwa siwasikilizi wazee aina ya Malecela, nchi inayumba wamekaa kimya halafu anasema ujinga huu? Huu ni ushenzi wa hali ya juu, mzee Malecela kaa na ccm yako, mwache Warioba na uzalendo wake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Putin to the West: Russian bear won’t ask for permission

    Huyu jamaa angekuwa rais wa Tanzania tungekuwa mbali sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Warioba: Mimi na Salim urais basi

    aaah yule mama hapana mkuu, kuna wengine wazuri tu tofauti na yule mama
  5. M

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

    we mpuuzi kabisa, kwanza hata kiswahili hujui, manyangau ndiyo nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Umoja gani huu hata haufahamiki, acheni uzalendo uchwara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Edward Lowassa, Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

    Simwamini Lowassa kabisa, aseme ukweli mbele ya watanzania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Same mashariki 2015 lazima liende chadema

    Ushindi kwa cdm hapo same lazima
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Morogoro Mjini CHADEMA Kuharibiwa na M/Kiti Mkoa

    mmmmmmmmhhhhhhhhh . . . . . . . . .. . Yangu macho
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usaili TBS: Nafasi 47 kwa watahiniwa zaidi ya 7,450

    Nchi yetu inazidi kuangamia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

    hongera bro, you made it
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

    we ndo hujawahi, mi nimeshaiona tena ipo hadi leo, tatizo wengi siku hizi sio waaminifu
Back
Top Bottom