Recent content by mzee wa kijiji

  1. M

    Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Kimsingi hili ni suala ambalo ni personal, na kwamba ni mke wake mbowe tena nyumbani kwake ndio anaweza kulalamikia tabia hii binafi ya Mh. Mbowe. Ni vema jamii ikajikita zaidi katika kujadili mambo ynayolitesa taifakwa sasa kuliko ufuatilia mambo ya watu binfsi n ambayo hayana tija
  2. M

    Wanafunzi wafanya Vurugu Bodi ya Mikopo

    tunapaswa kukubali kuwa bodi ya mikopo ni wababishaji kwani inaeleweka kuwa kama ni mkopo watoto huomba kwa kipindi fulani, so kama issue ni uptodating peke yake inawezekana kabisa bodi wakawarudishia hizo fomu ili wafanye hivyo. Ila nionavyoona mimi selekali yetu haina fedha za kuwalipa...
  3. M

    Kuhusu kupeleka vijana JKT na hatimaye kuwanyima mikopo

    Wanajamvi, Tujadili hili la serekali kuwalazimisha wahitimu wa kidato cha sita kwenda JKT kama kigezo cha kujiunga na vyuo vikuu. Nionavyo mimi ilitakiwa wale wote walioenda JKT walistahili kupewa mikopo kwani walikwisha jenga taifa na hivyo kustahili kuvuna kwa kupewa mikopo kwa ajili ya...
  4. M

    Ujumbe kwa Mbunge wa Songea Mjini mheshimiwa Emanuel Nchimbi

    kashaona hili la umeme na maji litamwaribia 2015 ndo maana amekata shauri na kwenda kumng'oa captain Komba huko Nyasa coz huko wao hawaitaji umeme wala maji bali fulana na vitambaa vya kuchea mganda wakuu............
  5. M

    Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

    He who knows that he knows not while he knows that he knows not is not is not a fool .............................
  6. M

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    napita tu
Back
Top Bottom