Naona kama leo tusiwatumie wachezaji wetu wapya wa kimataifa wengi ikibidi wawe watatu tu Zakouani au kangwanda kwenye winga ya mojawapo hasa ya kushoto na ile ya kulia wabaki Okello na Edmund John, Shalulile pale mbele maana hakuna finisher mzuri zaidi yake na mwingine labda Fred Ngoma kwenye...
Yes kama watamtoa Okello ni bora zaidi wamchukue Aziz Ki kama kweli huko alipo kuna uwezekano wa yeye kutoka kuliko kubet kwa wachezaji wengine mwishoe yawe ya Lassine Kouma mchezaji anapotea msimu mzima hatumuoni 😄
Simba alikuwa na maingizo mapya mengi kwenye ile mechi, lakini Yanga alianza na wachezaji wake wale wale ambao chemistry ilikuwepo tayari kati yao ni kwa namna flani ilikuwa advantage kwa Yanga kushinda ile mechi
nimeona mahali kwa yule Hans Rafael anasema hivyo, kama ni Okello mwenyewe ndo kataka kuondoka apo sawa, ila kama vinginevyo Yanga wawe makini japo naamini wapo makini, kwa huyo watakayemleta kwenye nafasi yake aje aingie kwenye timu moja kwa moja na awe fit kweli mi sitaki mambo ya Lassine...
mm nataka Hersi amrudishe Feisal tu, mana tangu ameondoka bwana shemeji pale kwenye namba 10 tunapuyanga tu mara acheze maxi mara mudathir na wote wanazingua tu kama Mudathir ndo anaboa kweli saivi hata ile namba 8 bora acheze Maxi tu kwasasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.