najua tatizo kubwa la Dodoma sasa? Ni gharama kubwa za maisha, na hii inachochewa sana na viongozi, hasa Mkuu wa Mkoa. Kila siku wao wanapiga kauli kwamba Dodoma ni jiji la watu wenye pesa, sasa hiyo kauli inafanya kila huduma na bidhaa kuwa juu mno.
Fikiria hivi, kutoka stesheni ya SGR Dodoma...
Walaani wastaafu wanaokikimbiza chama mahakamani… Wamtaja Rais Samia, Kikwete na Majaliwa kama mifano ya kuigwa
Na Mwandishi Wetu
Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wameibuka kwa sauti moja na kulaani vikali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya viongozi wa zamani waliowahi kushika...
Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao.
Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni, ameibua hoja kuhusu ongezeko la wafanyabiashara kutoka mataifa ya Asia, hususan China, akisema kuwa pamoja na wingi wao, wamekuwa na tabia ya kukwepa kodi.
Akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mageni amesema kuwa...
Kesi Maarufu ya Binti wa yombo iliyowakuta na hatia Vijana watano Nyundo na Wenzie inatarajiwa kuanzia kusikilizwa siku ya kesho katika kituo jumuishi cha kutoa haki jijini Dododma
Nyundo na wenzie walihumumiwa kifungo cha maisha jera washitakiwa hao ni Clinton Damas (Nyundo), Praygod Mushi...
NAFASI YA AJIRA DODOMA MSAIDIZI WA OFISI NA MUHASUBU SIFA HIZI
AGRONEXUS AFRICA COMPANY LIMITED
Our company is situated at Dodoma dealings with buying, selling and export different commodities. Are you detail-oriented accounting professional and Personal Assistant (PA) looking to grow your...
Wabunge 19 Walioingia Mgogoro na CHADEMA Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wabunge waliokuwa sehemu ya mgogoro wa kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamegawanyika katika makundi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Baadhi tayari wametangaza kujiunga na CCM na kutangaza...
Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE
Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT,
Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
Ijinjia nakusania mapema kabla ayajakukuta najua unania ya kugombea ubunge katika jimbo la kongwa ambalo awali mbunge wake wa sasa job ndugai alitangaza atogombea tena ila nataka kukufahamisha ndugai anagombea tena jimbo la kongwa na watu unawamini kuwa watakusaidia kukuvusha ndio masinichi wa...
Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.