Wakuu naombeni mwenye uelewa wa taratibu za kurisit anijuze kwasababu nataka kurisit masomo ya sayansi PCB pamoja na B/mathematics lengo ni kuja kuapply clinical medicine hapo baadaye katika hayo masomo nina D kote isipokuwa F ya maths.
Naombeni msaada when ila teyari nishahitimu chuo hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.