Wadau naomba Masada kwa alie fanikiwa ku apply kwa Mala ya pili naomba anieleweshe maana MI nashindwa vyuo vilivyopo kwenye guide book unapotaka kuchagua havionekani msaada tafadhari
Naomba ushauli mkuu nfanyeje nilifanya application mala ya kwanza lakn nilikosa nafasi wametoa kwa mala ya pili nkijalibu kutuma maombi naambiwa tayar nina acount nifanyaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.