Mtoa mada amechemka. Hiyo picha ni pozi tu. Familia ilitaka ukumbusho baada ya kutoka kwenye kazi za kilimo 'na mihangaiko. Unadhani hata maji yalikosekana? Hilo pozi og. Hawa kutaka picha,za kisasa za kukubadili. Ebitoke kila siku yuko natural. Toa heshima kwake
Hivi Mona sielewi hapa? Si mnasema Mwanaume mashine? Haya yanatoka waking Rena? Aunt mashine imeharibika ndo anajulishwa mtu? Naomba asijekuwa Mimi Jamani. Wakwe zangu wametupatia hadi nyumba ili mtoto wao apate raha ya milele. Usinichuze wewe
Nadhani shida siyo mali hapa. Anzeni kuomba toba kwa kila aliyewahi kuchepuka maana mnamhukumu mke wa mtu bila kuthibitisha. Kwani kuna kapicha ka kuchepuka na huyo white? Mbona picha zote ni kama za mzee G. alizopiga miaka 10 na familia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.