Recent content by Mzee Ngonyani

  1. M

    Makamanda wa Iran waliodaiwa kufa wamedaiwa kuonekana kwenye sherehe Tehran!!

    Sio kila tajiri ni myahudi USIPOTOSHE, pia wayahudi kuuwawa na Hitler Soo jambo la kushabikia, ni sawa na Leo wayahudi wanavyowauwa waparestina yote ni genocide. Ni kitu kibaya wote wana fanya VItendo viovu
  2. M

    Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Umefanya vizuri kulileta hapa jukwaani pia nimefurahi kuona namba ya mhushimiwa waziri. Naomba Sasa tuwe tuna mcheki moja Kwa moja mh waziri kwaajili ya taarifa na ushauri Ningependa pia tusiwakatishe tamaa Wadau wanao hitaji msaada kwa kejeli au vijembe. Kila mmoja ana namna yake ya...
  3. M

    Ni kweli binadamu wote duniani ni sawa?

    Huatuezi kuwa sawa, kiakili ,ustaraabu namna ya kuchanganua mambo, kupambana na mazingira uwezo wakufikiri na kuamua, mfano mdogo tu kwenye michezo timu za waarabu wakaskazini (timu za taifa) zinafanya vizuri kwasababu wachezaji wao wanauwezo mkubwa wakutumia akili lakini kwenye vipawa tupo...
  4. M

    GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Sheria ya kulinda kura. haipo, hayo ni maneno yakujifaliji tu,
  5. M

    Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Siamini kuwa serikali inaweza kufanya hivyo huenda ikawa wahuni tu, ngoja tusubili POLISI watasema nini. Angalizo Tuache uzushi na matusi Ili tuendelee kulifurahia jukwaa letu
  6. M

    Takwimu: Tanzania kuna waislamu Milioni 22 tu sawa na asilimia 34.01% ya idadi ya watu wote, halafu ukiwaambia wanakataa wanasema wako wengi

    Waislamu wengi upande wa Zanzibar mikoa ya pwani lakini bara ni wachache hata hivyo hatuna sababu ya kujadili mambo ya uislamu na Ukristo ni kupoteza muda na nguvu.
  7. M

    GE2025 ACT Wazalendo: Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu

    Eti tutalinda kura wewe haya Sasa bado siku ya kupiga kura,. Hapo Lisu ndo anapojipatia pointi, lile jitu linaona mbali sana I see . Pole nchi yangu Tanganyika
  8. M

    GE2025 Mapingamizi ya INEC kesi ya Mpina yatupwa, kesi ya msingi kusikilizwa Septemba 8

    Kwa nin, si ange gombea ubunge tu, asubilie 2030
  9. M

    Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Mwaka huu wamefanya Trump aliamulu yafanyike
  10. M

    GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Pamoja na mapungufu aliyonayo mama, lakini siamini kuwa anapenda au anafurahia wafauasi wake wafe, ukifuatilia vizuri utagundua kuwa ni uzembe wa madereva au ubovu wa Barabara . Tukumbuke kuwa ajali hutokea popote na kwa yeyote. Wala sio kafara.
  11. M

    GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Sio vizuri kushangilia vifo vya wenzetu, haifurahishi na ni ukosefu wa utu. kikubwa tuache kuwabeba watu kwenye malori ya mizigo kuwapeleka kwenye mikutano tuwaache waje wenyewe Kwa NJIA watakazo weza. The
Back
Top Bottom