Recent content by Mzee Mzima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    hebu kwanza kabla ya ukonozi wa vitu vya wenzako utueleze wewe kilichokutoa alphatel ni nini? au ulikuwa kwenye ile deal ya kupiga mil 70 pale mlangoni mkipeleka benki? halafu hii yako imekaa kimbeambea unasema wakuelekeze wanapataje hela halafu unaanza na kuanika vitu vyake, kama ulikuwa pale...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    hapo unamuonea, kuna tume ya bara na tume ya znz, sasa yeye ya znz ilikuwa inamuhusuje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    majina yao ya usanii siyajui ila ni juniour makame, i think ndio murder, ila sina uhakika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    tongwe records wamepata pigo baada ya mkurugenzi na mwanzilishi wa Tongwe records kufiwa na baba yake jaji mstaafu Lewis makame, poleni sana kwa msiba, kazi ya mungu haina makosa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    Alie kuwa judge wa mahakama ya rufaa na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Uchaguzi Jude Lewis Makame amefariki mchana wa leo katika hosp ya muhimbili alipokuwa amelazwa kwa operation aliofanyiwa wiki iliyopita. Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina wa Wajumbe kutoka kundi la 201 waliongana na UKAWA kususia BMK

    tafadhali sijakuelewa, unataka majina ya wa kundi 201 wasio ccm au ambao hawajaenda kwenye sehemu ya pili ya kupata posho
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uongozi wa Mkoa wa Tanga uko hivi?

    hizo taarifa zako ni za lini? kwani mwezi ulopita alikuwa akiongoza msafara wa mwenyekiti wa ccm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uongozi wa Mkoa wa Tanga uko hivi?

    sio kweli, mkuu wa polisi mkoa ni massawe aliekuwa tarime, unless waseme yeye ni transgender
  9. M

    JamiiForums Tanzania Alhaji Ismail A.Rage aporwa Simu wakati wa ajali.

    tusubiri magazeti ya udaku watoe picha zake za uchafu kama zipo kwenye simu, si wanapenda kujipiga picha watambiane na mwenzie jamii ya nyani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

    mkuu mohd mtoi ana taaluma ya ualimu tokea mwenge university, siasa ni hobby tu, so anapoongelea masuala ya elimu anajua anachosema, may be alipoingiza majina ya washauri..........
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali kweli jamani!!!startimes

    hujalipa miaka miwili unalalamika? ona hata aibu kila mmoja akifanya hivyo si watafunga kampuni?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania ni Kisiwa cha amani?

    Tanzania sio nchi yenye amani, hapa kuna "absence of fighting" huwezi kuita nchi yenye amani wakati hakuna haki, watu haki zao mpaka wahonge, ufisadi mkubwa sana, hivyo ndio vigezo vinavyofanya hao jamaa kutoiweka nchi yetu kuwa ni moja ya nchi zenye amani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Azan Zungu ulikuwa wapi kuwa spika wa bunge?

    nahisi bunge ninaloangalia mimi sio unaloona wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je hii ni haki kw wanafunzi wa kidto cha tano [Mkuu day sec ilyopo Rombo kilmanjaro]?

    dogo, hebu elezea sababu za nyie kugoma, acha porojo, eleza na ainisha zote tuone kama uamuzi wenu wa kugoma ni sahihi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    pls acha kumuonea lukuvi, amesoma sana, sio std 7, ilikuwa ni std 8, na ile ya wakati ule nahisi wamecompare na sasa ndio maana wameona waiconvert to elimu ya sasa ndio maana sasa ana masters..... hii ndio bongo
Back
Top Bottom