Recent content by mzee mwenyewe

  1. mzee mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Iwapo mtoto amepewa jina la ukoo na kumbe bila kujua mwenye jina hilo alikua mganga na anahitaji mtoto huyo arithi mikoba Je, kuna njia unaweza kutumia ili jambo hilo lisiwezekane? Ila ni tayar mtoto kesha zaliwa na tatizo flan ambalo ukifatilia kwa wataalam unaambiwa ni mwenye jina alikua...
  2. mzee mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    kuna njia nyingine ya kurudisha nyota ya mtu iliyochukuliwa pasipo nguvu za giza [kwa kutumia miti shamba]
  3. mzee mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Kuna viapo na maagano vilifanyika utotoni

    Je kuna uwezekano wa mtu kutumia nyota ya mtu mwingne kama upo ebu nielekeze inakuaje na ni madhara gani yanampata yule alochukuliwa nyota yake
  4. mzee mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    umeumbwa kwa mfano wa Mungu lkn hujaumbwa ili umchunguze yeye sawa we mjanja?
  5. mzee mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    kweli ukitaka kumjua Mungu zaid utajikuta unachiz cz Mungu achunguziki kama tunavyo fikiria ndo maana hakuna mwenye jibu kamili lililokamilika kuhusu yeye ACHENI MUNGU AITWE MUNGU NA USIMRINGANISHE NA CHOCHOTE
Back
Top Bottom