Recent content by mzee msoko

  1. mzee msoko

    Mtaji milioni 25 - 30

    Fungua carwash then kama una nia ya kufanya uwekezaji mkoani karibu tuwekeze kwenye security systems
  2. mzee msoko

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Kwa sasa nilistop kuzileta sababu nyingi zinakuwa hazina straight network na kufanya mtumiaji ashindwe kutumia kwa uhuru. Nyingi wameandika zinapokea 4g vizuri lakini kwa setup zake ina command utumie 2g/3g pekee
  3. mzee msoko

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Agiza mzigo uingize nchini kwanza,then urudi kuleta feedback hapa
  4. mzee msoko

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Haibagui idadi ya camera ulizofunga,yenyewe ina operate idadi ya camera ulizonazo na wakati huo unaweza itumia kama personal Wi-Fi
  5. mzee msoko

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Tukutane wakati mwingine panapo majaaliwa
  6. mzee msoko

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    Hapa kwenye kipengele cha model yaonyesha ni SM-G998U Pia upande wa software update inaandika "NO UPDATE IS AVAILABLE FOR YOUR DEVICE AT THIS TIME, PLEASE TRY AGAIN IN 24 HOURS" pia kwenye kipengele hichi nishajaribu sana tu
  7. mzee msoko

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    Shukran mkuu nitafanya hivyo
  8. mzee msoko

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    Shukran mkuu nitafanya hivyo
  9. mzee msoko

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    No,sijachange file lolote mkuu zaidi ilianza ghafla tu upande wa calls inaandika Emergency mara laini inasoma ikijisikia then no mobile data
  10. mzee msoko

    Nimehangaika sana bila mafanikio

    Jambo hilihili lililompata ndugu yetu #kazanazo
  11. mzee msoko

    Tatizo la network kwenye Samsung s21 ultra 5g

    Ni miezi miwili sasa,mwezi wa kwanza nilitumia vizuri tu lakini siku zilivyozidi kwenda hilo tatizo likaanza ghafla
Back
Top Bottom