Recent content by mzee mobu

  1. M

    mipango ya maendeleo ya serikali huyeyuka

    uko wapi mpango wa serika ulioitwa O&OD,vikwazo na fursa,mpango huu ulitumia resource kubwa kuuanda kwa kila kijiji kuwa na mipango ya maendeleo,je nauliza yeyote anajua utekelezaji wake umefikia wapi?
  2. M

    Nasikitika na kinachotokea bungeni

    Kunawakati napata shida kujua kweli spika huwa anakuwa na muda wa mrejesho kazi alizofanya kwasiku ndani ya bunge? nasema hivyo kwasababu habadiliki ktk usimamizi wa kanuni,kila siku imekiwa lawama,hata amekiwa akipewa ushauri na watu mabalimbali wakiwamo wasomi lkn ameshindwa kutambua...
Back
Top Bottom