Recent content by Mzee Manywele

  1. M

    PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

    Safi sana fastjet
  2. M

    Tuition Tuition: Wakazi wa Arusha

    Sie hatuna idea iliyonayo!kuna watu sio wakristu lakin wasoma shule za kikristu na wengine sio waislamu lakini wanasoma morogoro muslim university!kwa nn unafikiria udini sana@balimar
  3. M

    Tuition Tuition: Wakazi wa Arusha

    Masomo ya ziada kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita, wanafunzi wanaorudia mitihani (PC) na wanafunzi wanaofanya mitihani ya maarifa (QT),Masomo yatolewayo 1. Chemistry 2. Physics 3. Basic Mathematics 4. Biology 5. History 6. English and Literature 7. Geography Mahali: moshono...
  4. M

    Kiwanja kinauzwa kwa wakazi wa Arusha

    KIWANJA KINAUZWA KWA WAKAZI WA ARUSHA KIWANJA KIPO MAENEO YA KWA LAIZER RELINI UKUBWA WA KIWANJA NI 15 x 15 KWA MAELEZEZO ZAIDI TUWASILIANE 0718 117 784
  5. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu jamani? bado natafuta mwalimu wa kubadolishana kituo cha kazi aje Arusha jiji mie niende Morogoro manispaa, tuwasiliane kwa 0718117784.
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Arusha nije Mvomero, tuwasiliane kwa 0718117784
  7. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    bado natafuta mwalimu wa kuja jiji la Arusha na mie niende Morogoro manispaa, tafadhali tuwasiliane mapema sana.
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jaman bado natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Morogoro aje Arusha jiji, tuwasiliane kwa 0718117784
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani bado natafuta mwalimu wa kituo cha kazi kutoka manispaa ya Morogoro yeye aje arusha, tutafutane kwa mawasiliano zaidi 0718117784.
  10. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hapana!nataka manispaa ya morogoro maana ndo familia yangu ilipo!
  11. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa sekondar wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Arusha jiji mie niende Morogoro manispaa, kama unawiwa tuwasiliane kupitia 0718117784
  12. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie nipo Arusha jiji natafuta wa kubadilishana na mwalimu toka manispaa ya Morogoro aliye intetested pliz tutafutane inbox
Back
Top Bottom