Recent content by Mzee Madoshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafinga, Iringa: Askari wa JWTZ ashushiwa kipigo na vijana wenye hasira kali baada ya kumdhulumu dereva wa bodaboda

    Unamjua mwanajeshi, unafahamu anapofanya kazi, unatakiwa kuripoti kwa wakubwa zake ukiwa na ushahidi. Sasa ikigundulika aliyepigwa sie mmhhhh....... nyie anzeni tu kuhama
  2. M

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli azindua Kiwanda cha Sigara(Philip Morris). Aagiza wafanyabiashara wadogo wa Stendi kutobugudhiwa

    Mafuta machafu na unga wa ngano ulioexpire mbona tunakula sana tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Hayo ni mawazo yako tu. Supporter wake sio kijani tu Bali ni wengi wale wanaoona beyond personality ya mtu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania wa sasa tunaogopana hadi kufikia Watu kutoa Kauli kama hii ifuatayo?

    Pamoja na pesa kupotea, usalama mitaani umeboreka sana. Wale panya road, wezi wa bodaboda, etc wamepungua kwa kiasi kikubwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea eneo la Feri Kigamboni Jijini Dar es Salaam

    Kwa kufanya hivyo ni rahisi kupata mawili matatu ya shida za watu wa Kigamboni. Bravo Mr. President
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali haitaweza kukusanya zaidi ya 60% ya makadirio yake

    Dhamira nzuri na ushirikiano wa watanzania wote including zitto mwenyewe itasaidia serikali kukusanya zaidi ya hizo. Wanasiasa wasiobadilika bado wanaendelea Kuliona Giza tu hata Kama wameshika tochi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimebadili dini lakini mpenzi wangu hajui, nimeamua nimuache

    Dini is nothing just follow your heart unaweza kubadilisha hizo dini Kama nguo na ukasahau ila huwezi badili wema au ubaya wa huyo boyfriend au wa Wazazi wako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mvutano waibuka kati ya Kikwete na Magufuli juu ya ukatibu wa bunge, asita kuachia madaraka

    Wasukuma wanamsemo ukipenda kurudirudi mwisho utaibua na Mengine ........
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga benki ya CRDB leo asubuhi, azua taharuki

    Tunamuombea Salama Kamanda wetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Maisha polite Mama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Misungwi afiwa na mwanae

    Poleni sana ndugu zangu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Angalia dharau hii ya wazungu kwa trafiki wetu

    Kisheria hilo ni kosa la kutishia KUUA
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

    Kuna habari unaisoma kwenye gazeti halafu unajiuliza hivi huyu ni mwandishi aliyefanya utafiti wa kina kwa ajili ya alichoandika? Riz yuko sahihi kwa waandishi makanjanja, sio wote ila ni wengi
Back
Top Bottom