Recent content by Mzee Kobelo.

  1. Mzee Kobelo.

    Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    🙆🙆🙆 kwan ndege yenyewe sh ngp? Lkn hawa wanatufundisha tuache kukurupuka wanakuja kwa sura nzuri na ya upole ila wanakua na roho ngumu mno wanacho angalia n kuchukua wanacho kitaka wao. Hii mikataba ya kimangu'ngo viongoz waachane nayo.wasiangalie matumbo yao tu.
  2. Mzee Kobelo.

    SoC03 Ukuzaji vipaji vya wanamichezo Tanzania

    MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake. Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika. Kumbuka:michezo ni ajira Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo. Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
Back
Top Bottom