Recent content by Mzee Gwanda

  1. M

    Kwanini wana CCM hawashabikii suala la kubaki Mita 200 kulinda kura?

    Kulinda kura ukiwa mita 200 toka chumba cha kura unawezaje kumzuia aliyeko ndani kukuibia? Labda tukubaliane watakaobaki mita 200 hawatakuwa wakilinda kura bali wanasubiri kusoma matokeo yatakayobandikwa.
  2. M

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    TWAWEZA wangekuwa wameonyesha kuwa mshindi ni LOWASA hapa mngekuwa mnaona watu wanavyoshangilia eti TWAWEZA wana akili. Kwa vile wametoa matokeo kama NEC itakayotoa hapa ndo wanatukanwa mpaka ndani. SIASA siyo matusi bali ni ushawishi. Acheni matusi subiri kura zipigwe atangazwe rais wa...
  3. M

    Maswali ya Uchaguzi Mkuu.

    Mimi naweza kusema kwamba uchaguzi huu kwanza tuuweke kwenye maombi yetu ya kila siku, pili wananchi tutambue, tujue na tuelewe maana ya upigaji kura (why people vote?). Tukielewa hilo amani itakuwepo tena bila wasiwasi. Tatizo kubwa linalokumba wale wasiojua maana ya demokrasia wanadhani kuwa...
  4. M

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Mishahara mipya ya walimu 2015/16 wapi??? Tanzania, drc, rwanda, kenya, ug? Mtoa mada hajatuweka wazi huenda tukajadili kumbe nchi nyingine
  5. M

    Nisaidie wimbo huu unaitwaje niudownload jamani

    Nakumbuka maneno baadhi ya wimbo ila jina na msanii sikumbuki. "Beti unaondoka ee, kwangu unaniacha, nami sina la kufanya, mama uende salama. Mawazo x 3 Ukiwa x3 ........."
  6. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni mwalimu wa secondary hapa KARAGWE-KAGERA kwa anayetaka kutoka Mtwara kuja huku anichek
  7. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Mwenye file hilo la dip na degree kwa arts atuwekee ili tuachane na website yao ambayo imekuwa busy hadi kuchoka
  8. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Mkuu kweli hizo mbili nimeziona yaani cheti na science ila ile ya sanaa na biashara haionekani mkuu. kama unayo tusaidie kama ulivyoweka hizi mbili.
  9. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Mkuu tuwekee na file la sanaa na biashara kama umeshalidownload make mtandao taabu
  10. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Jamani tunaona kweli majina yamewekwa ila mtandao haukubali bado tuko roho juu. Kama kuna aliyewahi kuyapata majina ya sanaa na biashara atoe msaada jamani tuyapate humu JF.
  11. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Ambaye ameshadownload atuwekee basi arts na biashara
  12. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Arts tuzame kwenye siasa tu hatuna jinsi
  13. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Je, wakati wanatangaza kwa umma kuwa ajira zitatoka tar 25. Pia wakaongeza eti wamefanya utafiti ngazi ya halmashauri na shule kubaini uhaba wa walimu. Je, hawakugundua kuwa halmashauri hazina hela ili wasitangaze? Huyo ndugu yako wa tamisemi kakudanganya mtoa uzi
  14. M

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Mi kinachoniudhi hadi presha zikanipanda ni pale ninapofungua website ya TAMISEMI kuona kama tayari alafu nakuta kile kitangazo chao kinachodai wanatoa majina tar 25 wakati naona tayari tar 26 na hawajakifuta kitangazo kile. Napata machungu wangekuwa JF wakapitia threads km hz wangefuta tu...
Back
Top Bottom