Recent content by Mzee Bwege

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

    Siku hizi hatutongozi kwa sababu wasichana wanonyesha mwelekeo moja kwa moja kwa hiyo kilichobaki ni kutoa date tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania TCRA: Atakayeweka Picha za Utupu mtandaoni faini Milioni 20

    Mtu kama hajiheshimu mwenyewe hivi kweli Taifa lihangaike, kama mtu anaonaraha kuonyesha maumbile yake aachwe tu wenye aibu tutakaa kando
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke auawa kwa kupigwa nyundo kichwani na mumewe baada ya mchepuko kupiga simu usiku huko Kahama

    Kama una mke lazima umfahamishe mchepuko wako na kama una mume vivo hivyo usijifanye uko huru hasa kina dada wanapenda sana kusema hawana mtu kumbe wanae hii huleta taabu baadae maana unampa mtu uhuru usio wa kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Inalillahi wa Inaillahi Rajiun
Back
Top Bottom