Recent content by mzee babu

  1. M

    Haya ndio mambo ya ukawa kinondoni

    "Mipango Miji" picha hiyo ni hapo Kinondoni?
  2. M

    The English of President Magufuli of Tanzania

    I don't even have to read your comments carefully on the President's communication skills in order to recommend you make use of "word spell " before posting something else in English next time. Any Std. IV language teaching person shoud be able to correct EACH single paragraph you put up...
  3. M

    Lowassa kushinda Oktoba, Maalim Seif kushinda kwa asilimia 51.9%

    Thamani (scientific) ya utafiti huu ni sawa na wa ule wa Dr. Malboro unaoonesha kuwa 'uvutaji sigara' hauna madhara yeyote kwa binadamu......
  4. M

    Maajabu ya rais ajaye mh.Magufuli.

    Nukuu za Nyerere za kuchagua tu? Je vipi hii ya: ..... MUOGOPENI KAMA UKOMA anyetaka kuingia Ikulu kwa gharama yeyote....?
  5. M

    Wanavyuo wampongeza Lowassa

    Unajiita Katbu "Msataafu"; wa sasa ndiye amekutuma uwasemee wanavyuo?
  6. M

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Mwigulu, Mwigulu…….! Wenzako kwenye Chama, kila kukicha kazi ni kuzoa matapishi yako. Ukiona tu hali ndani na nje ya Chama imetulia kidogo, unaibuka tena na mambo ajabu na hatari sana kwa ustawi na uhai wa Chama. Hivi kwanini hautulii? Nini kinakusumbua, kinachokuwasha hadi unacha...
  7. M

    Mipaka ya asili ya zanzibar

    Chief Kimweri, kama paramount chief upande wa Tao la Mashariki, (Usambara yote hadi Moa, Lunga Lunga) Chief Kingalu, naye kam paramount chief upande wa Tao la Magharibi, (Uluguru yote hadi Bagamoyo) nao walikuwa "subjects" wa Sultan? Walilipshwa kodi ya kichwa na sultan? Au unatuandaa madai...
Back
Top Bottom