Recent content by Mzawa wa tanzania

  1. M

    JamiiForums Tanzania WWE Superstar of the year 2013 ni....

    Nim kweli kaka, mbona kama wiki mbili zishapita tangu brayan alishatangazwa muda sana, zaid ya wiki mbili sasa tangu atangazwe pia ilkuwa kabla ya X-mass. Inaelekea huwa hawaonyeshi live. Huwa wanaonyesha live kupitia channel ya Abudhab 6 kila j4 sa 12 jioni. Inaelekea hata ujio wa batista...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Francis cheka apoteza apigwa kwa ko

    Mmmmhhhh aisee kweli, me nahisi kuna ukweli ndani yake. Mana hatari. Ndumba haipandi ndege nd mana alipoupata ubingwa aliomba autetee hapahapa tz na siyo nje ya nchi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Francis cheka apoteza apigwa kwa ko

    Bondia francis cheka aendeleza wimbi la kupigwa nje ya nchi, safari kwa KO raundi ya tatu. Kimsingi sijui tatizo ni nini? mana hata ukiangalia pambano lenyewe, anaonekana kuzidiwa kupita maelezo km vile siyo bingwa wa dunia. Au ndio mambo ya ndumba yameshindwa kuvuka mipaka mpka nje ya nchi nn...
Back
Top Bottom