Mwananchi yoyote akipata fursa ya kuiba anaiba..hapa wa kulaumiwa sio Bayi wala wenzake wa TOC bali serikali na vyombo vyake..kuanzia wizara na taasisi husika za usimamizi. Hata ikisemwa kuna watu serikalini wanahongwa mtu hawezi kubisha. Kwa mambo yote haya kwanini ukimya? Michezo haina hela...
Silasi kinachokuponza sijui ni uoga au kutokujiamini?
Umepewa nguvu na katiba ya kuteua wajumbe wa kamati tendaji, umemteua Ikangaa na Bayi hali ukijua kabisa kikwazo cha maendeleo ya mchezo wa riadha kwa miaka kibao ni Filbert Bayi. Sijui kwanini unamuogopa. Sasa ngoja nikwambie, Bayi ameshaapa...
Sasa hivi muda wake wa uongozi Olympic unaisha ndio anataka ahimishie majeshi jimboni. Hilo Tamasha watu wanafikiri yeye ndio mdhamini lakik ukweli liko kwe Calenda wanayowasilisha Olympic na pesa zote zinatoka huko. Yeye kaligeuza lke linafanyika Karatu naambiwa ni miaka ishirini sasa. Olympic...
Huyu Filbert Bayi ni jipu kuubwa sana kwenye riadha. Ana shule zake maalumu kwaajili ya kuua vipaji vya watoto ili yeye apate ufadhili kutoka nje. Anaenda maeneo mbalimbali kwe umiseta wap, anachagua watoto wenye vipaji anawapeleka kwenye shule zake anaombea ufadhili nje. Lakin tangu aanzishe...
John Bayo ni tatizo kubwa kwa riadha.
Ni wakala wa wachezaji kutoka kenya, kwenye hilo hana aibu na yuko tayari kupambana kwa kila hali kuhakikisha wanariadha wake toka Kenya wanashiriki mbio za Tanzania. Bahati mbaya sana wengi wao ni wale wanaotumia madawa ya kuongeza nguvu na wana rekodi ya...
Gidabday Mungu atakubariki. Umebaki wewe tu unaejitoa hadharani kuipigania katiba ya RT. Wengine wote wameufyata wanasemea pembeni.
Bayo tangu ametoka Mbeya kwenye Tulia Marathon ambako nako alipiga hela kwa wakimbiaji aliowaleta kutoka kenya, sasa hv yuko Dar anawaweka sawa mambo. Hataki mtu...
Unaambiwa mwandishi akiipata hii story anampigia Bayo anapewa bahasha na story inafia hapo. Kuna Bayi, Neema Msita, Tiboroha ambae mwanzo nilimsafisha kumbe anaufahamu huu mchezo tangu mwanzo kabisa.
Yaani huyu Bayo ni tatizo na sasa wadau wa riadha wameamua kua hizi dharau zifike mwisho. Mtu...
Leo nimeona nimstue kidogo wakili msomi Silas Isangi ambae ndie rais wa RT.
Kiukweli tangu achaguliwe kua rais wa RT tumekua na matumaini mapya juu ya Riadha ya Tanzania. Lakini cha kusikitisha, tangu Silas achaguliwe, zaid ya kua mdandiaji wa mbio zinazoandaliwa na vyama vya mikoa mbalimbali...
Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.